Sunday, September 28, 2014

VICE CHAIRMAN
 MR.  LAISON KIBONA 
    CHAIRMAN :
MR. JOEL ANDWILEGE


      GENERAL SECRETARY

MR.POSIAN  LUKANAZYA                                                                                                                                                                             



YOUTH NURSES AND MIDWIVES

                                                                        ITAMBUE UNSATA

UNSATA (kifupi cha University Nursing Student Association of Tanzania) chama cha wanafunzi wauuguzi Tanzania ambao wanasoma ngazi zote za uuguzi kuanzia cheti, stashahada, shahada na kuendelea ili mradi asiwe nje ya taratibu na maadili ambayo mwanafunzi wa uuguzi anapaswa kuwanayo. Chama kilianzishwa rasmi na kupata usajili chini ya wizara ya afya na kutambulika kwa mujibu wa sheria tarehe 8/05/2005.
Makao makuu yake yakiwa kwenye Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi cha Muhimbili
Malengo ya chama ni pamoja na:
  1. kuweza kuwaweka pamoja wanafunzi wauguzi kuzungumza na kuweza kutatua kero mbalimbali zinazowakabili
  2. kuweza kuhamasisha wanafunzi kuwa na mtazamo chanya juu ya uuguzi ilikuweza kutoa msaada katika jamii
  3. kuweza kuondoa fikra potofu juu ya wanaume wanaosoma hii kozi kwani imezoeleka kuwa ni kozi ya wanawake tu kwani ni mawazo potofu
  4. kuweza kuishi katka maadili ya uuguzi pamoja na upendo na amani
  5. kuweza kukitangaza chama kila pande/kona ya Tanzania






UNSATAUDOM

Photos Of Today

Photos Of Today

Popular Posts

LIKE OUR PAGE

Blogger Tips and TricksLatest Tips For BloggersBlogger Tricks